THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO

 Vijana na wazee waliomiminika viwanja vya michezo vya Jangwani leo katika mkutano wa hadhara wa CCM Mkoa wa Dar es salaam uliodhihirisha kwamba Chama Tawala kinazidi kukonga nyoyo za wengi
 Vaa Uzalendoooooooooooo.....!!!
 Nyomi Jangwani
Nape Nnauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Mzee Abdulrahman Kinana.


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Haya mambo yameanza kumekucha. Tuone CHADEMA sasa karibuni Jangwani lakini noti mnazo. Huko Lindi mnakojitanafasi tutawamaliza siku moja kadi zote zitarudi hizo.

 2. Anonymous Anasema:

  Kweli CCM chama kubwa haina mpinzani,yaani umati huu wote ! harafu hizi sare zao na pale Jangwani
  zimefiti kweli kweli

 3. Anonymous Anasema:

  eeh wamesombwa na malori, kwani wametokea mikoani? au walipakizwa humo kwa bakora? Ni mkutano wa CCM Jangwani. chadomo mlitaka uhudhuriwe na wakazi wa Magomeni pekee au?Ndo mjue tupo, msione tupo kimya mkaendelea kujifariji na kelele na uongo wenu, sasa ni uzalendo kwa kwenda mbele wizi na uongo wenu tumeustukia

 4. Anonymous Anasema:

  dunia hadaa malimwengu shujaaa.... ccm oyee

 5. Anonymous Anasema:

  I think CCM remains to be a stronger party and most popular in Tanzania. Chadema and other parties lack strong roots, having said so, the method and ideas being used by Chadema to criticize CCM at all given times is a confirmation that the party has a short life span. When CCM does well, they should also come out and praise the good deeds. Failure to do so, they are bound to head for a road of no return.
  Zanzibar

 6. Its time for the rhetoric to stop, this could put us in bad place. Chagema and CCM have to stop this trend of petty party politics at this especially when the time for election is over , they have to let the citizen to carry on with their day to day struggles and for the parties isn't this the time for them to deliver what they have promised instead of going round the country planting the seeds of divide and rule? We do not need the party leaders telling us what is happening in the country while the journalist are doing excellent work on that. The politician jobs after the election is to fulfill what they have promised and not using these rallies as a new methods to prosper themselves on bonuses and etc. perharps this is their new venture of making money and keeping TUKURUKU at the arms length. Just for those interested on research look on how many hours just this year have been lost on productive activities and instead used in attending these rallies. On other side just imagine if the amount of people gathered at Jangwani were to lift one piece of litter in the street of the city may be just may be for atleast one day the city of example for Africa. Lets use our time in production rather than confrotational politics. Just a thought