JINA LANGU NINAITWA AGUSTINO ANDREW, MWALIMU WA CHUO CHA UALIMU NACHINGWEA MKOANI LINDI.

NIMEIBIWA LAPTOP PAMOJA NA VYETI VYANGU VYA TAALUMA KAMA CHETI CHA KIDATO CHA NNE, SITA, TRASCRIPT RESULTS NA CHETI CHA KUZALIWA NIKIWA FRISHA SALOON MAENEO YA TABATA CHANG’OMBE

TAFADHALI NAOMBA YEYOTE ATAKAEVIONA VYETI HIVYO ANITUMIE KWA ANUANI IFUATAYO:

AGUSTINO ANDREW,

C/O VERONICA KAZIMOTO,

S.L.P 76079,

DAR ES SALAAM.
MOB. NO: 0719 – 876 433 AU

0753 – 986 541.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2012

    Ulikuwa na hiyo laptop ndani ya hiyo saloon au uliiacha nje kwenye gari?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2012

    WAKUJA KALIZWA HUYOOOOOO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2012

    Dalili ya utoro Kazini!

    Sasa Mwalimu Augustino Andrew hilo rundo la nyaraka nyeti kama hizo kuwepo Dar Es Salaam wakati kituo chako cha kazi ni Nachingwea Lindi, OK inawezekana ni wakati wa Likizo lakini kwa nini ubebe vitu vyote hivyo safarini Dar?

    Vitu vingine unaweza kuvipata hata kwa kurejesha au kununua, lakini vitu vinavyoitwa Cheti cha Form 4 na Form 6 kamwe huwezi kupata vingine utabaki unatumia Results Slips kutokana na Policy mbovu za Baraza la Mitihani la Tanzania kuhusu Vyeti!

    Unaweza kupoteza vyeti vya Elimu ya Sekondari vya CAMBRIDGE au OXFORD vya Uingereza ukaagiza vingine ukatumiwa lakini vya hili Baraza letu ndio imekula kwako!

    POLE SANA!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2012

    Nilijaribu kuuliza wahusika wa frisha wakaniambia huyu jamaa hakuwa salon, alikuwa yuko bar ambayo iko pembeni tu ya salon hiyo na gari aliipaki sehemu iliyo kama mita 50 kutoka alipo ila sehemu amabayo haiko chini ya uangalizi wa mlinzi wa Frisha.Niliingia shaka baada ya taarifa hizi maana na mimi ni mteja katika salon hiyo, hivyo nilitaka kujua hizi tabia za wizi wanazishughulikiaje, jibu ni kwamba hawahusiki. Pole mdau ila tangaza clouds kipindi cha jahazi maana glob kama hii twasoma wachache.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...