Bwana Amini S. Mwanga wa Chuo Kikuu Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake bwana Wilson Stephano Kidavi (pichani) kilichotokea tarehe 8 june 2012 huko Kibaha mkoa wa Pwani. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo  Juini 10, 2012 kwenda Ugweno, Kilimanjaro,  kwa ajili ya mazishi yatakayo fanyika kesho  Juma tatu tarehe Juni 11,  2012. Habari ziwafikie wana ukoo wote wa Mwanga,  ndugu,  jamaa, marafiki na wanafunzi walio soma na marehemu Kibaha Sc School na  wafanya kazi wenzake,  wana Kibaha pamoja na marafiki wa Kaka zake Dada zake pamoja na mashemeji wote


Bwana ametoa, Bwana ametwa 
Jina lake lihimidiwe

AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...