THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

msiba ugiriki


Jumuiya ya watanzania ugiriki inasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu ASHA KALLENGA (pichani) kilichotokea usiku wa kuamkia leo 10/06/2012 katika hospitali ya Evangelismos mjini Athens. Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki alikuwa ni mkaazi wa  Dar.

 Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin.
INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN

Kayu Ligopora
KATIBU WA JUMUIYA


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  INNA LILLAHI WAINA ILLAHIM RAJIUN, SURELY WE WILL ALL RETURN ONE DAY TO OUR LORD AND MAY ALLAH REST HER SOUL IN PEACE IN JANATU NAEEM AMIN

 2. Anonymous Anasema:

  Roho ya marehemu ipunzike kwa amani. Amen

 3. HK Anasema:

  "INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJI'UN"(Surely we belong to GOD and to HIM shall we return). May ALLAH grant her soul the best place in JAN'NATU-N'NAEEM - AMEN. Na muwe pole wafiwa na wanajumuiya wote wa Tanzania nchini Ugiriki. Mwenyeez Mungu wajaaliye na kuwapa moyo wa subira, stahmala na faraja, khususan katika kipindi hiki cha kuondokewa na mpenda wetu. Nasi sote tulio nyuma yake, MOLA wetu tujaaliye "Khusnil-Khatma" Ameen.

 4. Anonymous Anasema:

  mwenyenzi mungu akulaze mahala pema peponi Asha kalenga mwenyenzi mungu alikupenda na amekwita mja wako