Meneja Mahusiano wa NBC, Danstan Kolimba akitoa mada kuhusu ni jinsi gani sekta ya ujenzi inavyoweza kunufaika na huduma za benki hiyo katika Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. NBC ilidhamini mkutano huo.
Meneja Mahusiano wa NBC, Danstan Kolimba (kulia) pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. NBC ilidhamini mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi wakimsikiliza Meneja Mahusiano wa NBC, Danstan Kolimba (hayupo pichani) wakati akitoa mada yake kuhusu jinsi sekta ya ujenzi inavyoweza kunufaika na huduma zitolewazo na NBC wakati wa mkutano huo uliodhaminiwa na NBC jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...