Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Dodoma katika ziara ya kikazi.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2012

    Eeh, imefika wakati sasa Dar es Salaam iwe na wakuu wa mikoa wawili, mmoja ofisi uwanja wa ndege.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...