THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SHUKURANI ZA DHATI KWA WATANZANIA NA MARAFIKI WA STOCKHOLM

TUNAPENDA KUTOA SHUKURANI ZA DHATI KWA WATANZANIA NA MARAFIKI WANAOISHI  KATIKA JIJI LA STOCKHOLM WAKIONGOZWA NA  BALOZI WA TANZANIA NCHINI SWDEN MHESHIMIWA MOHAMED MWINYI HAJI MZALE.KWA KUSHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA KUMALIZA SHULE KWA  KIJANA WETU ADAM KASA.ASANTENI SANA KWA USHIRIKIANO NA UPENDO MLIOUONYESHA.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Pongezi Adam.