Kiunsi

AN immigrant is trying to sue the UK Government for 11MILLION — for making him “unhappy”.
Daniel Kiunsi  (pictured) claims officials violated his human rights by confiscating his passport three years ago.
The grasping Tanzanian says it caused his family “great unhappiness” and insists the authorities should have provided for their “basic needs” such as food, rent, council bills and other costs.
Kiunsi says he “scientifically calculated” the £11million using internationally accepted methods and has issued a claim with the High Court.
The electrical engineer, in his forties, had been in the UK on a work visa but left to take a job abroad. When he returned, officials seized his passport as he didn’t qualify to re-enter. He was let in to arrange for his family to leave — but is still here.
Kiunsi, of Upminster, Essex, is citing his right to liberty, a fair trial and private and family life — plus human rights laws relating to “torture or inhuman or degrading treatment”.
He said: “It’s the issue of the happiness.” 
The UK Border Agency said: “We will challenge this robustly.”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2012

    That is the spirit. Kama Hakieleweki ni kuburuzana mahakaman tu. We are have rights! Go engineer!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2012

    Kila kitu kinawezekana ni kuondoa uoga tuu,
    Na kama mfano huu hai wa mtanzania mwenzetu,ungeigwa hapa nyumbani na serikali yetu kwa kutetea haki za watanzania wanaonyanyaswa katika baadhi ya balozi za ulaya,tungekua na heshima inayopaswa kila binadamu kuwa nayo.
    Balozi nyingi za nchi za EU zimekua na usumbufu na penginepo kashfa kwa kuwalazimisha watanzania kujaza fomu mfano unataka VIZA ya ujerumani heti afisa wa viza anakulazimisha ujaze fomu kuwa ukienda ujerumani hauna ruhusa ya kufunga ndoa ! wakati ni kinyume cha haki za binadamu.
    Serikali kwa kupitia idara ya mambo ya nje ingeweza kututetea raia wake katika kufanyiwa vitendo hivi.
    kuna masharti mengine hayamo kisheria na yanakiuka haki za binadamu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2012

    Happiness what happiness after all you havent paid enough tax in uk,to be entitled that kind of money.What kind of an idiot lawyer been advising you.Sorry mate you will not get a single pen here justpack your bags and go.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2012

    Nyie wabongo mtakuwa watumwa kwenye nchi za watu mpaka lini???? Nani kawaamboa lakini kuwa maisha yapo Ulaya tu. Shaurilenu sisi twala bata tu na mapenzi tele ya ndugu jamaa na marafiki. Full Happinessssssssss!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2012

    wachukue passport kijinga hivi hivi???

    wana sababu zaohao. Kwataarifa uingereza kwenye field kama ya huyo jamaa hawako shortage. Ila kwenye wakati mgumu wa uchumu serekali ya uingereza wakubali kutoa hizo fidia...mungu mkubwa. Ila hapo kuna sababu.tunaomba matokeo ya case hii hadi mwisho.madhali mmeanzisha tupeni uhondo wake utakavyomalizika.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2012

    anonnymous wa sun Jun 17, 08:32:00 PM 2012 kweli hawajachukuwa passport kijinga, lakini hapo hapo umekosea sana kwa kutumia issue ya kuwa uk hakuna shortage ya field yake kuwa ndio sababu za kuzuiliwa kwake.

    Ukweli huyu jamaa alipata ruhusa ya kufanya kazi nchini (work visa) na kwa sababu hiyo akaweza kuleta familia yake ili wawe pamoja. Jamaa sijui ni kwa kukosa ajira hapa mwenyewe akaamua kwenda nchi nyengine kufanya kazi akiwacha familia yake hapa UK.

    Jamaa alijiona mjanja kuwa atawacha familia yake hapa yeye akafanye kazi kwengine halafu awe anakuja kuona familia yake wakati wa holidays zake, alichosahau ni masharti ya visa yake ambayo moja wapo ni kuwa awe anafanya kazi nchini na kusuport familia yake. Kwa vile alivunja makubaliano hayo ndio akakataliwa kuendelea kuwepo nchini.

    Kwa vile alikuwa na familia nchini aliruhusiwa kuingia nchini ili afunge virago na kurudi nyumbani pamoja na familia yake. Jamaa aliporuhusiwa kuingia akaamua kutofata tena alivyoambiwa na akaamua kubaki nchini na kutafuta lawyer amtetetee.

    Kwa kuwa hakuwa na passport hakuweza kutafuta kazi, au ni kuosahau ni kuwa aliamua mwenyewe kubaki nchini, pia anadhani watu wajinga na hawatamuuliza ni vipi ameweza kuishi muda huo bila kufanya kazi? serikali haitokubali kamwe kuwa hakuwa akifanya kazi na kuwa alikuwa akimtegemea mkewe. watamnasa kuwa alikuwa akifanya kazi kiujanja ujanja na hivyo hilo pia litakuwa kosa kwa upande wake.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2012

    sasa si mnaona haya,juzi Tanzania ilitiliana mkataba na ubalozi wa ujerumani kuwa wake au waume watumishi wa ubalozini wapate ruhusa ya kufanya kazi,lakini mkataba huo umewasahau walio wengi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2012

    You are very lucky man,you are in uk in other countries you should be in immigration camp waiting for plane to fly you home[tz] rather than waiting compansation [11million],grow up man stop deceiving people,please go with your baggage quitely

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2012

    Ndugu yangu naona hapa mambo yako umeshayaharibu, kwa hiyo ushauri wangu ni bora usiendelee kujitia aibu, ni vyema kutizama njia zingine za maisha. Vilevile watoa maoni naomba msimchambue ndugu yetu alikuwa anajaribu maisha lakini kakosea, ni vyema kumpa ushauri badala ya kumtukana na kumchambua. Asanteni

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2012

    Kwenye hii kesi mwanzoni kwenye mahakama za UK atashindwa na Home office watashinda. Kisha jamaa atakata rufaa kwenye mahakama ya juu ambayo iko chini ya european union, na kwa kuwa huko hukumu zao zinabase kwenye masuala ya haki za binadamu atashinda kesi kilaini atapewa pesa zake kisha huyoo ataishia zake.

    Kigezo kitakachomfanya ashinde ni hilo la home office kukaa na passport yake for 3 years bila kumshitaki, wala kumdeport. Wengi wenu mmeshindwa kuona hicho kipengele cha wao kukaa na passport yake for 3 years, so they were putting him under a lot of stress, and how can a stressful person be happy? Na angesafiri vipi kurudi TZ bila passport yake? Wengi tu wanaopelekana mahakamani na hawa jamaa huwa wanashinda kesi.

    Bado hao hapo wa ofisi ya Dar walioadmit kuwa wanawabania wabongo visa makusudi hata kama wanastahili.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2012

    Huyu jamaa akijakustuka lawyers wanamlia pesa hatakuwa ana nauli ya kumpeleka Heathrow Airport

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2012

    hawa ndio wale jamaa kazi yao kulalamika tuuu....! na kujiona siku zote "I am right" I am sure they will turn triple charges of what he expect" Sasa engineer hata kutumia logic bwana mzee vipi wewe?!Sasa kachinmbe mashimo bongo yaishe.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2012

    MATAIFA SUMBUFU KWETU:

    1.MAREKANI
    2.UINGEREZA
    3.UJERUMANI
    4.UBELGIJI
    5.UHOLANZI
    6.SPAIN
    7.FRENCE
    8.ITALY
    9.IRELAND
    10.CANADA

    Hizi nchi zinatufanya sisi kama Punda vile, sawa hizi sheria zao zipo lakini pana mambo mengine ni ya kibinaadamu zaidi jamani.

    Mfano mtu anafuata taratibu zote anaingia na familia yake kwenye nchi ile anafika tu mambo yanabadilika kidogo hakuna kazi anaenda sehemu ingine 'baada ya mabadiliko kidogo' anarudi anaambiwa amevunja Sheria!

    Je, hizi sheria za wenzetu hazizingatii dharura na haki za kibinaadamu?

    Je, ingekuwa ni Mwa mataifa hayo hapo juu ama British Volunteer,British Worker au British Investor yamemkuta hayo akiwa Tanzania nae angefanyiwa hivyo kama huyo Mtanzania huko kwao UK?

    Au ndio kwetu Tanzania ni sehemu ya bure na kwao hapana?

    JE DUNIANI PANA SHERIA AMBAZO HAZIZINGATII HALI YA UBINAADAMU?

    JE NI SAWA SHERIA KUTOZINGATIA UBINAADMAU?

    Hizo nchi kumi (10) hapo juu zinatufanya Punda sana sisi!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2012

    Jamani njaa hizi zitatua jama.. LoL!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2012

    Siyo ya kucheka wala siyo ya kubeza, kaondoka nyumbani kwenda kutafuta sio kwamba alipenda kuondoka nyumbani, wengi wako nje ya nchi kutokana na system ya kwetu inatuangusha, KUNA MTU ANADAI ANAKULA BATA NA YUKO NA NDUGU ZAKE.

    Wewe kula bata wako kimyakimya mwache mwenzio akahangaike, kuna wazungu wangapi wanang'ang'ania Africa kutokana na vile wanavyoona maslahi yako vizuri upande wao!

    Wewe kula bata wako RESPECT maamuzi ya mwenzako anayeona SIO KULA BATA TUU.

    Pole brother, ulaya yenyewe imekwisha sasa, nao sasa wamejua njaa ni nini!

    Hangaika, fuatilia mambo yako at the end of the day rudi nyumbani, hukosi kazi kutokana uko na fani yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...