Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2012

    Hii ni taswira mwanana haswa. Tanzania yetu ni nchi nzuri. Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2012

    Hii picha ni nzuri mno. Kudos kwa aliyeipiga

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2012

    Picha nzuri sana hii. Kudos kwa mpigaji.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2012

    Ni nchi nzuri ila kuna vicheche na mchwa wanaichafua na kuidhalilisha kwa ufisadi na ubinafsi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2012

    umwanana wa picha hii uko wapi? picha ni nzuri lakini mwanana?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...