Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2012

    Yale yalee na wale wale. Come on!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2012

    Kwani ndugu yangu mdau wewe ulikuwa na mawazo gani?
    Kina nani uliekuwa unawataka wewe?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2012

    Hivi hakuna watu wengine wabunifu zaidi ya sura hizi hizi ambazo kwenye mashirika waliyoyaongoza hawakuwa na jipya zaidi ya kashfa za hapa na pale ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2012

    Shirika lina ndege moja kuu kuu,wafanyakazi lukuki na wajumbe wa bodi juu!! Hakyanani Tanzania kuna vituko

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2012

    Muwe na ufahamu mnapotoa maoni yenu. Unaposema yaleyale na walewale inadhihirisha jinsi gani huna hoja unaongozwa na majungu tu. Naomba nikupe mfani Bibi Margret Munyagi ni Mzoefu katika idara ya na ameongoza TCAA sijui kama unailewa kw a ufanisi na mafanikio makubwa. Wengine hao sikwambii fuatilia mwenyewe acha ububusa watu wamepewa kazi waache wafanye kazi.. Upo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2012

    Ndio watoto wa Chadema wanataka kuja kuendesha nchi. Hii nchi inaelekea kuangamia kwa mtindo huu na watu hawa. Hawana maarifa yoyote, na sistaajabu ni magrauate, hao ndio wanaoongoza kwa umbumbumbu pamoja na kuwa na degree. Tena waliosoma siku hizi wanaona wao ndio ndio waliosoma wengine hawana elimu hasa wakimuona ana jina asilolipenda. Mtakufa navyo vijiba vya koo.

    Wakiona vinaelea vimeundwa. Hata Nuhu aliunda merikebu lakini ilizama.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2012

    Afadhali serikali inajitahidi kurudisha hadhi ya taifa. Tuliashaanza kupitwa na majirani zetu na mashirika yao ya juzi.
    Kuna wazalendo wa ukweli na wenye uwezo wa kusaidia kunyanyua shirika na hadhi ya taifa. Bodi iangalie tu upande mzuri.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2012

    hawa wote ni watu makini sana! sio wabadhirifu. gud luck to all of them. will be challenging

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...