Waziri wa  Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika  wa Zanzibar, Mh Haroun Ali Suleiman,  akihutubia katika mkutano wa 101 wa shirika la kazi (ILO) duniani unaondelea jijini  Geneva Uswisi. 
Zaidi kuhusu mkutano huu BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2012

    Ohhh Wazanzibari hatuna kazi ni bora tuuvunje Muungano!

    Dunia nzima inatapatapa na msidanganyike hakuna uwezekano kila mtu ktk jamii akawa ameajiriwa!,,,kama unabisha utazunguka Dunia nzima hadi uanguke kwa kizungu zungu huwezi kufika nchi kama hiyo labda Peponi!

    Mnaona Mhe. Haroun Ali Suleiman ndio kama mnavyomuona anawasakia mipango ya kazi Kisiwania!

    Sasa Wandugu huko Zenji Mwanauchumi gani Duniani aliwadanganya ya kuwa suluhisho la ukosefu wa kazi Visiwani ni kuvunja Muungano?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2012

    comment yangu hujaiweke umeiweka hii ya fisadi mwenzako ili azidi kutuponda, hatutaki mungano hatutaki muungano na inshallah tukipata nchi yetu tutajitengenezea wenyewe makazi yetu na mambo yetu na mtutuoa na mtakufa na kijiba cha rohoo

    kama mna ubavu tuachiyeni tupumuwe tupeni nchi yetu hatutaki muungano hatutaki muungano wa aina yeyote ile, serikali tatu wala kumi na tatu hatutaki muungano na nyinyi jamani

    kazi kwako kama na hii comment uta delete au vipi na uzidi kuwaweka mafisadi wenzio wewe michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...