Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa na naibu wake Mhe Pereira Silima (wa kwanza kushoto) na Jaji Kiongozi Mhe. Fakihi Jundu (wa pili kulia) wakiwa meza kuu na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro (wa tatu kulia) katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam
Champaigne ikiandaliwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akigonganisha glasi na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam.
Maafisa wa ngazi mbalimbali wa Magereza na taasisi zingine wakipita meza kuu kumuaga Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, akijumuika na waalikwa katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...