THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

hii imekaaje wadau??


Kuna Maoni 22 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  No turns allowed at the intersection.

 2. Anonymous Anasema:

  hapo ni No turns inatakiwa kuendelea moja kwa moja. Kwa mameno mengine huwezi kata kulia au kushoto. a

 3. Anonymous Anasema:

  Neither left nor right turn is allowed. Keep the f*@#%k straight.

 4. Anonymous Anasema:

  confuse.com

 5. Anonymous Anasema:

  Tuachane na hayo mabango Je hizo Tax hapo ndio sehemu yake ya kuegeshea magari au? Kama ndio basi Serikali ijitahidi kuwawekea maeneo yao tu na vibali na pia sio kujenga migorofa tu tukumbuke na sehemu za kuegeshea magari basi.

 6. Anonymous Anasema:

  Hapo wangu kibao tu kimegeuka lkn maana ilikuwa uende moja kwa moja usikate kulia wala kushoto

 7. Mkibosho Anasema:

  Chezea Bangi wewe? Ah! Bange mbaya kaka we acha tu!

 8. Anonymous Anasema:

  Kuna shida fulani katika vibao vingi vya alama za barabarani hasa katikati ya Jiji. Mfano mwingine ni pale Makutano ya Br. ya Biti Titi Mohamed na Nkrumah. Kuna kibao chenye alama ya 'Hakuna Njia' (Kinazuia magari yasiingie Nkrumah kutoka Mnazi Mmoja na Kamata) lakini magari yanapita hapo kila siku kuja Br. ya Samora. Hali kadhalika, makutano ya Br. za Ohio na Garden (PPF Tower/ATC) pana kibao cha alama inayosomeka 'Usipinde Kushoto' yaani kutoka Br. Ohio kwenda Br. Garden/Imalaseko, lakini kibao hicho kimefutwafutwa. Naomba Ankal waulize Tanroads ama Jiji kwamba kwa nini vibao hivyo vinavyotuchanganya bado vipo hapo vilipo?

 9. Anonymous Anasema:

  "Uchimeze,Usimumunye wala Uchiteme"

 10. Anonymous Anasema:

  Hizo inatukumbusha hadithi za zamani kuhusu walinzi wa kimakonde ambao wakikukamata wanakuambi! Ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukikaa nchale! ukichuchumaa nchale!!!!!

 11. Anonymous Anasema:

  Maana Yake nenda moja kwa moja usikate kushoto wala kulia

 12. Anonymous Anasema:

  Iko poa..alama zinamaanisha hakuna kukata kona kwenda shoto wala kulia. Maana ukitaka kula kona unasababisha msururu nyuma na flow of traffic hamna.

 13. mdau lubida Anasema:

  nadhani walitaka kufanya mabadiliko fulani lakini yalikuwa hayajapitishwa ndiyo maana walikuwa wamelifunika bango moja wapo

  hivyo hapo maana yake usimeze wala usiteme tehetehetehe

 14. Anonymous Anasema:

  hii inaaonyesha ubadirifu wa hali ya juu wa mali ya umma na pessa za walipa kodi,kwa maana ilikuwa hakuna haja ya kutumia mabomba mawili wala mabati ya alama mawili kwani nina uhakika ipo alama moja ambayo ingetosheleza kuwekwa hapo na kutoa maana halisi ya kilichokusudia (kwenye muongozo wa alama za barabarani)

 15. Anonymous Anasema:

  one way only,TBS wanafanya nini au ubora wa dawa tu?


  mdau wa kimbiji

 16. Anonymous Anasema:

  Basically hii nchi ni kichwa cha mwendawazima!! Kuna mtu amepewa Kandarasi Katikati ya Jiji Ya kuweka Vibao Hivyo ila alikuwa Hana scope ya kazi aliyotakiwa kufanya Hivyo Mkanganyiko ni Mtindo Mmoja!!

 17. Anonymous Anasema:

  moja inawahusu watembea kwa miguu!lol

 18. Anonymous Anasema:

  Watoto walikua wanajifunza kuchora jamani

 19. Anonymous Anasema:

  UZEMBE KASORO MKIA....!

 20. Anonymous Anasema:

  kati ya jiji la Dar, eneo la kisutu na posta yamejaa kibao. mbali na aliyoyasem anonimous mmoja hapo juu, pia yapo eneo la ocean road kuelekea kivukoni, kisutu, nk

 21. Mdau Geneva Anasema:

  Simpo, usikate kulia wala kushoto.

 22. Anonymous Anasema:

  Ni yale yale ya kutokuwa makini na tunalolifanya. Pia kutoshirikisha wengine kutoa maoni. Unajua kichwa kimoja hakikwezi kuona kila kitu hasa pale unapotaka watu wengi wakuelewe wakati unapotumia ishara na vielelezo. Vyote vinatakiwa vieleweke dhahiri kwa kutoa likusudiwalo kwa yeyote yule anaviangalia.