Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni kweli kila kazi ina raha yake, ila na karaha zake pia zipo. Mwenzetu huyo yeye anaifurahia kaziye, ila kwa baadhi ya madereva aweza kuwa kivutio kwao na wakaacha kutizama wendako na kupelekea kupoteza umakini wao kwenye uendeshaji, matokeo yake wakasababisha ajali na pengine hata yeye muongozaji akazolewa humo humo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2012

    Ankal, naona jamaa amejiandaa vema dhidi ya madereva wachomekeaji. Ana moto kabisa hapo kwenye nyonga

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2012

    Hawa ndio nwatu hawapokei rushwa hapo ni kazi au ticket tu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2012

    INGEKUWA BONGO, ANGEKUWA ANAWAZA RUSHWA TU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...