TAREHE 05 JULAI 2012 UNATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU UITWE NA BWANA NA KUTUTOKA HAPA ULIMWENGUNI. JAPO UMETUTOKA KIMWILI LAKINI BADO UPO MIOYONI MWETU NA UNAKUMBUKWA NA KUENZIWA SANA NA MUMEO MERITUS, WANAO GLORY, GLADNESS NA GALLYA, BABA YAKO LUTENI KANALI MSTAAFU FIDELIS MNYANYI, WADOGO ZAKO WAKWE NDUGU NA MARAFIKI ZAKO PIA.
“RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI…AMINA”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2012

    Limetajwa jina la mume na jina la baba. Hakuna jina la marehemu wala jina la mama. Mfumo dume to the fullest!

    Anyhow, poleni sana jamaa zangu na jirani zangu wa zamani, Hill Road, Oyster Bay.

    Ulikuwa mwema na mfano wa upole kwetu wadogo zako. Njia bora ya kudumisha kumbukumbu yako kwetu ni kuendeleza legacy ya yale ulotufundisha, cha kwanza humility.

    Pumzika kwa Amani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2012

    Nimeumia sana kuona tangazola kumbukumbu dada yangu na hata msiba wako sijausikia. Najua ni vigumu kupata habari tangu tulipoachana pale Tabata bima kwenye nyumba za nssf mungu akulaze mahali pema peponi. Poleni sana wafiwa na hasa rafiki yangu mpenzi Rose Mnyanyi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...