THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

“KWASA KWASA”-TAZNEEM(OFFICIAL HD VIDEO)


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Where is she from bongo or india? kwa sababu anaimba kiswahili lakini kina accent. Naelewa vizuri kuna wahindi wa bongo, india na everywhere in the world, kwa uraia.Naomba jibu, kwa ajuae.Mdau us

 2. Anonymous Anasema:

  Wimbo mzuri. Her style is unique and refreshing; she seems fearless too in trying different things and doing it her way. We hope to hear more from her for many years to come. Mwenyezi Mungu ambariki na aendelee kumzidishia.

 3. Anonymous Anasema:

  Well done, She dares to be different! Her Music is smashing! Go girl!

 4. Anonymous Anasema:

  "....Accent" wadosis wachache hawana accent!

 5. Anonymous Anasema:

  Sijaelewa vizuri, ni kwamba Tanzania sasa ina Celine Dion au Mr. Nice kapata competition? All in all, good job!

 6. Anonymous Anasema:

  A good combination, western, Indian and Tanzanian (AFRICAN). GO GIRL this is what I call creative!