Habari ndugu zangu,
Hii ni kwa wale wanaburudani wote : Fresh120 inawataarifu kuwa ipo tayari kutangaza mziki wako au tukio lako kwa kutumia blog yawww.fresh120.blogspot.com  kwa artist au producer waweza sasa kuwasiliana nasi a kutuma maelezo ya tukio au mtu flani kwenda email hii :fresh120blog@gmail.com : tuma maelezo sahihi picha  na si tutaweka moja kwa moja kwenye blog yetu na vile vile usiache kutupia macho kwenye blog yetu kuna mengi yatayojiri stay tuned. for more info call  +255754710783 or email fresh120blog@gmail.com

Regards,
Joel Joseph

CEO & Founder At Fresh120 co.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...