Makamu wa Pili wa Rais wa Seriakli ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idi akimkabidhi cheti pamoja na tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa TANTRADE, Samuel Mvingira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko, Dk Abdallah Kigoda akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau akiongea na Waandishi wa Habari muda mfupi baada ya kukabidhiwa tuzo na cheti cha Ushindi wa Jumla katika maonyesho ya 30 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau akiwa pamoja na Maafisa wengine wa NSSF wakifuatilia Hotuba ya Ufunguzi wa Maonyesho hayo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Big up ndugu yangu. Jicho la husda lisikupate inshaallah. Ukisimama na nguzo ya allah na yeye anakusimamia.
ReplyDeletetangu naanza kwendakuangalia maonesho haya naona hili shirika kila mwaka linachukua tuzo.hongereni kwa hilo.
ReplyDeleteHongera sana team NSSF chini ya uongozi mahiri wa kamanda mzalendo asiye jua kujikweza DR Rama Dau.
ReplyDelete