Hapa karibu na njia panda ya Kunduchi. Baada ya muda wadau waliondoka Dar muda mrefu uliopita  wakija nyumbani watakuta mabadiliko makubwa kwenye barabara hii na nyingine kibao ambazo foleni zake ni za kufa mtu kutokana na ufinyu wa barabara
 Maeneo ya Kunduchi karibu na pale wanapochimbaga kokoto za kujengea
 Maeneo ya Tegeta njia panda ya Wazo Hill
Daraja karibu na kufika Tegeta kituoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2012

    Barabara ya Bagamoyo Road!! Duh

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2012

    Anachonifurahisha mkandalasi huyu ni kutambua na kutunza miti. Ameweza kuacha miti mingi barabarani iendelee na maisha yake hasa eneo la Africana hadi Mbuyuni.
    Hongera sana kwa jambo hilo

    ReplyDelete
  3. Bagamoyo Road (in English) au Barabara ya Bagamoyo (kwa lugha yetu ya Taifa), vyovyote vile ni fasaha kabisa na inajitosheleza. Haya mazowea ya kusema au kuandika "Barabara ya Bagamoyo ROAD" ndio hizo lugha gongana na hatimae zinakuwa mazowea yetu. Kila la kheri katika shughuli nzima za ujenzi wa barabara hiyo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2012

    Michu,good job.Please zidi kutuletea taswira za barabara,hii inakoga mioyo ya watu sana hasa hasa waliolowea nchi za mbali na kwa miaka mingi hawajarudi bongo . pia nachukua nafasi hii kukuomba unitangazie kwa wanablog kwamba ,nina mashine za kuprinti picha kwenye vikombe na (mag) zake (vikombe) vyake kama elfu moja hivi,naomba mjasiliamali aje tuonane nimuuzie. email yangu ni jacobmayillah@hotmail.ca.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2012

    michuzi nakuomba sana kaka yangu utuwekee kituo cha mabasi cha hiyo barabara alafu utuwekee na kituo cha moroko kwa pamoja halafu uangalie vina fanana?mimi sijapenda wameweka kituo vibaya sasa magari yata simama vipi kipaa chenyewe kifupi basi litakwangua kianguke,nafasi ndogo halafu hakuna mchepuko hiyo ni hiway.unaweza simama unapakia abiria unagongwa kwa nyuma sababu haijulikani umesimama au unakwenda ni mbaya sana.nenda kaone mwenyewe utaelewa ninachokueleza.utatusaidia sana labda kwa namna yeyote mdau wa kunduchi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2012

    Barabara ya bagamoyo road! badilisha hiyo statement please!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2012

    Ni vizuri sana kuongeza road, Je usalama wa wananchi utaendana na barabara mpya, hivi sasa hatuna barabara lakini tunachinjana kwa ajari ,je zikamilika itakuaje?naomba serikali ilitazame hilipia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...