Nape akihutubia baada ya kufungua kitega cha  milango ya maduka 37 pamoja na kituo cha mafuta"petrol station'' mali ya CCM sumbawanga leo.
 Nape akisalimiana na wenyeji wa Sumbawanga waliojitokeza uwanja wa Ndege kumpokea.
 Skafu kwa Nape
 Chipukizi wakimpokea Nape
Katibu wa itikadi na Uenezi Taifa, Ndugu Nape Moses Nnauye akifungua kituo Cha Uwekezaji na kitega Uchumi cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo ya Sabasaba, Manispaa ya Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa Leo
Waziri wa Maji na Mbunge wa Mwanga Mhe. Jumanne Maghembe akisalimiana na wakazi na viongozi wa Chama Mkoani Rukwa Ndugu Emanuel Seleman m-NEC (katikati) pamoja na Mzee Abdillah(wa kwanza kulia) waliokuja kuwapokea uwanja wa Ndege wa Sumbawanga mjini, Mhe. Maghembe ameongozana na Mhe Nape Katika Ziara yake hiyo.

Nape akisalimiana na wenyeji wa Sumbawanga waliojitokeza uwanja wa Ndege kumpokea.Picha na Adam Mzee. 
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Naona hizi Skafu za siku hizi zimezidi madoido, halafu rangi pia zina mapungufu ukilinganisha na zile SKAFU asilia za enzi hizo. kwanza zilikuwa za ukubwa wa kadiri, rangi kwa mpangilio maalum, hiyo hapo naona nyeusi imekosekana, badala yake imekuwa decorated na huo urembo wa njano, halafu kubwaaa! Utadhani mtu unafungwa/kuvalishwa mtandio wa shingo. ma-zigzag na marembo kibao! Tafadhali wahusika, khasa Umoja wa Vijana Tanzania, rejesheni hadhi ya SKAFU kama zilizokuwa zikivaliwa na chipukizi wa miaka hiyooo! kama mmewahi kuziona zilivyokuwa, siku hizi skafu moja katibu mita nzima, haipendezi mnaishushia hadhi kichipukizi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2012

    ccm mmezidi mno kuiga,
    hadi combat!!
    shame upon you dudes!!
    combat ni zetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2012

    Kombat siyo za jeshi?
    Vipi "zenu"?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2012

    Wewe mjaleo/mwanakijiji, combat CCM hazikuanza leo au hukumbuki enzi za Young Pioneers na Youth League? Tuseme ulikuwa bado kijijini au ulikuwa hujazaliwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...