Boris Bunjak kocha mkuu mpya wa timu ya Azam FC akipiga picha wakati alipotambulishwa rasmi na uongozi wa timu hiyo leo jijini Dar es salaam, Boris Bunjak raia wa Serbia aliyezaliwa mwaka 1954 amesaini mkataba wa kuitukimia Azam FC kwa muda wa miaka miwili akiiitumikia timu hiyo, Boris Bunjak amefundisha timu mbalimbali katika nchi za kiarabu na amewahi kuchezea timu ya taifa ya Serbia na vilabu mbalimbali huko Ulaya Mashariki amewahi kufanya kazi pia katika chama cha soka cha Yugoslavia mwaka 1993-1994 na kazi nyingine nyingi kuhusiana na masuala ya soka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hicho kichwa cha khabari neno moja la mwanzo kabisa limekosewa, muhariri umeandika AZMA nadhani ulikusudia AZAM kama ntakuwa sahihi, in case am wrong as well, my apology in advance.

    N.B. Ukirekebisha kimya kimya, huna haja ya kutowa 'comment' yangu tafadhali.

    ReplyDelete
  2. Azma imepata kocha.... ataitukimia.
    Kuteleza kwa vidole huko. Kabla ya kutuma ni vyema kupitia tena maandishi hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...