Here is By Bongo Celebrity
Another episode of Mkasi.Last Monday,Salama sat with Khalid Mohammed aka TID(Top In Dar).TID hails from a new generation of Bongo Fleva artists who started the singing sensationalism to the tunes and beats that were later recognized as Bongo Fleva.He was into acting.In fact,one of the first Bongo Films I ever attended it’s premiering event featured TID.So when you talk about being a musician and an actor at the same time,TID understands it well.He was there.

This episode,can tell a lot about TID from where is from to where he is and whatever he does to remain afloat.It is a good reason to watch Mkasi.Can we also add that this is one of the most provoking interviews we have ever seen on Mkasi? There are quite interesting twists and turns. Ons and Offs.For the first time,I saw K-ci from K-Ci & Jojo in there.Baaang!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Najuta kuangalia.

    ReplyDelete
  2. Seriously this guy TID needs help, he looks very high on something!!!! Salma your guests should either speak swahili or english. Hard to understand when they turn to english as their english is so bad even my grand mother would question the standard of education in our schools.

    ReplyDelete
  3. Salama mambo mengine unayataka mwenyewe, laitani ungekuwa unaandaa rasmi maswali yako, siyo hii uliza yako ya kiholelaholela, mtu anafikia kukuzibia masikio bado unamlazimisha tu akujibu unayoyataka wewe. Kwa kweli sijayapenda kabisa mahojiano yako na huyu kijana, sana sana naona kama kakufedhehesheni tu hapo, mana mmezidi kuhoji. Halafu anavyojidai, lugha yenyewe 'gongana', dharau kwa kwenda mbele, upuuzi mtupu. Mahojiano yanakuwa kama mpo vichoroni.

    Haya tusubiri na hayo ya next week, mana tayari ushaanza kuambiwa "....hamna mtindi" halafu unazidi kufurahia na kuhoji"...mtindi ndo nini..". Usipoangalia MKASI utapunguwa makali yake huo na hatimae kuwa 'butu' usinoleke na wala usifae tena!

    ReplyDelete
  4. Hii interview gani. Jamaa yupo high kabisa hapo. Bwana mdogo inabidi atulie, namjau tokea mdogo anaanguka. Salama ameona na nusu alie kwenye hii interview kwa ajili ameona wapi bwana mdogo ataishia. Amemwambia ukweli "kuwa mama yako anakutegemea"

    ReplyDelete
  5. Watu kwa kuponda b'ana! Andaeni interview zenu na vipindi vyenu mtoe masharti mnayotaka! Hii kitu ni recorded na imerushwa hewani coz wenyewe ndo walivyo-plan kipindi kiwe.. Hupendi interviews za Mkasi acha kuangalia, hujalazimishwa.

    MKASI FAN..

    ReplyDelete
  6. ...the worst interview ever

    ReplyDelete
  7. Hivi TID ana matatizo gani?? mbona kila mara kwenye interview za media hua unajishaua na kizungu?? aisee we jamaa kweli acha ulimbukeni kwa nini usiwe kama AY wala hana mashauzi

    ReplyDelete
  8. Seconded, the worst interview ever.. TID unaanguka kama bado hujaanguka.. Salama hana kosa kabisa kila kipindi kina mipango yake inayoipambanua na kuitofautisha na kipindi kingine tatizo haoa ni TID.

    ReplyDelete
  9. Ankal, cc wadau wa hii blog ya jamii, tumezoea kusoma habari nzuri za maendeleo mbalimbali ya nchi yetu pamoja na watu wake, sasa ukianz kutuwekea hawa watoto ambao hawajijui hata kama ni vioo vya jamii,Huyu T.I.D,kweli anajitambua? kama msanii anaelewa maana ya interview?ndio maana hatufiki mbali wasaniii wa Tz, na wewe Salama, mbona sasa mkasi wako unapitiliza?kipindi kilipoanza kilikua kitam sana,watu wenye adabu zao,sasa naona unaanza kutuletea wenda wazimu,au umechoka?tafuta watu walio elimika dada.

    ReplyDelete
  10. 'THE WORST INTERVIEW EVER', 'SALAMA UNAULIZA MASWALI KIHOLELA MPAKA JAMAA ANAKUZIBIA MASIKIO'. Hivyo ndio vitu anavyovitaka Salama! na ndio vitu vinavyoifanya MKASI iwe MKASI, Sasa nyie mnataka iwe kama 45 minutes? na hivyo ndio vitu vinavyowafanya ninyi muhangaike kupanga mambo yenu mapema ili muda wa MKASI ukifika mpate kuwa na muda wa kuangalia!!

    ReplyDelete
  11. Huyu dada mwehu mwarabu koko tokalini akahoji watu..uhamiche huo mkasi wako to pemba..dar hatutaki ushoga wala mdebwedo..kama pamekushinda tz rudi kwenu yemeni.

    ReplyDelete
  12. Its mind numbing, kwa kweli inasikitisha....

    ReplyDelete
  13. Sijaona tatizo na kiswanglish cha TID...Hizo ni swag tu....Hata wamarekani si wote kingereza chao kimenyooka.

    Punguzeni kujifanya ma editor. Kuna watu mtu akiongea badala ya ku focus kwenye substance anaangalia wapi kakosea. Kuna wengine hata anayeongea kiswahili wataanza ooh R anaweka L as if hamjaelewa au mlipata A za kiswahili darasani.

    ReplyDelete
  14. Please kama ujui kimombo ongea kiswahili tabu ya hawa jamaa wanataka kujifanya wanajua kimombo kumbe wanajua kimombo cha kuombea maji,naomba ukimwalika mtu mwambihe aongehe lugha anayojuwa siyo kubabahisa na kimombo sawa sawa huyu Tid,
    asante.

    ReplyDelete
  15. jamani tusiwe wanafiki mimi kwa upande wangu sijaona swali lolote baya alioulizwa TID na kusema salama aandae maswali si kweli inategemea mazunguzo ndio salama atajuwa wanaongerea nini unaweza andaa maswali muhusika akajibu vingine, tuache unafiki msipende kujiona nyinyi mnajua kila kitu I LOVE MKASI...

    ReplyDelete
  16. TID IS THAT YOU? unasikitisha sana please badilika na pia acha majivuno sana ishi na watu vizuri, kaa chini fikiri unawatoto wawili nadhani je wewe na baba wa aina gani. THINK

    ReplyDelete
  17. nimeangalia kipindi nimesikitika sana, T.I.D shemeji yetu sisi wanafunzi wa Moscow amemvalisha dada yetu KINANA SEIF Pete kwakweli dada yetu kama kweli unampenda mchumba wako mbadilishe maana wewe tunakuona hakuna kitu kama Mume wako mtarajiwa ndiyo huyo tunakupa pole tumeangalia huku moscow tumeshangaa sana mchumba wako soon anamaliza Masters degree mwakani so what kind of husband are you? stop doing shit T.I.D wake up man, ww ni lulu na unataka ipoteza mwenyewe man unasauti wake up tengeneza pesa... we love you......FROM MOSCOW ( SHEMEJI ZAKO)

    ReplyDelete
  18. kwa kweli uko juu sana maojiano yako na huyu kijana ayakwenda vizuri lakini inaonekana alikuwa high kama hataki kujibu kitu aseme tu no comment alafu tayalisha maswali inapendeza zaidi kwenye kalatasi watanzania mnajua kukandia tu mtu akiongea kiingeleza mnakandia asipoongea matatizo sasa lipi bora? usipoongea ulimi utalainika vipi unavyozidi kuongea ndivyounapozidi kuelewa au kutamka vizuri mawazili wenyewe wanaongea daughter is going toze door itakuwa wananchi wa kawaida

    ReplyDelete
  19. watu wanaponda utafikiri nini ndo kilichoni push niakiangalia hichi kipindi cha mahojiano mlivyo ponda wakuu wote nishai kiyama jamaa khalid hata kama anatumia vyote vya kunusa na kugwiya na kunya na kufuta lakin katika interview hii yupo poa yupo stable acheni zenu wachizi kama mnawivu wenu jingongeni tukoneni tukakuzikeni

    wabongo bwana mkimuona mtu anajituma yuko na zake midomo midomo kila saaa nishaa mijameni

    mdau New York

    ReplyDelete
  20. Big up Salama, Big up TID!!!

    Kwa standard, English ya TID ni iko sawa tu, wanaochangia kwa mtizamo wa KUPONDA waseme WHERE TID broke the language!!! Standard ya his English is well above average, most of degree holders hata hawafikii kiwango chake.

    Hakumtukana mtu, he was just HIMSELF, if he looked tipsy thats his problem, if he didn't want to answer a personal question that's his right, if he chose to use English it is an official language, what's wrong??? If he chose to avoid a political question that's his right, where did he go wrong? by speaking flawless English?

    Siyo lazima kila kitu tuponde jamani

    ReplyDelete
  21. Anon (Wed Aug 08, 02:36:00 PM 2012)na (Thu Aug 09, 12:26:00 AM 2012), mnasema english yake nzuri labda nyie hamjaenda shule na kama mmeenda nawashauri you sue hizo shule zenu cuz mmetapeliwa.

    ReplyDelete
  22. Quote for us, where did he break the language? (annon09, 03:31:00 AM)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...