Vazi NI DUKA LA NGUO, VIATU, VIPODOZI, NA ACCESSORIES KUTOKA SWEDEN, MAREKANI NA UINGEREZA.

Vazi SASA WAMESHUSHA NGUO MPYA KUTOKA SWEDEN NA MAREKANI KWA AJILI YA WATOTO KATI YA UMRI WA MWAKA MMOJA HADI MIAKA 12 , PAMBA HIZO NI KALI, ZINA UBORA WA HALI YA JUU NI ( 100 PERCENT COTTON!) kutoka maduka mbalimbali kama vile H&M, Target, nk.

FIKA Vazi VITU UJIPATIE VITU MBALIMBALI KAMA VILE:-
• SURUALI KALI ZA KADET NA MASHATI, KWA WATOTO WAKIUME.
• PEDO ZA WATOTO WA KIKE, MAGAUNI, SKETI NA BLAUZI.
• NECKLACE, HERENI, NA BANGILI ZA KIPEKEE KWA WADADA.
• MAKE UP ORIGINAL ZA MAYBELLINE NA SLEEK.
• PRODUCTS ZA VICTORIA SECRET,
• RANGI ZA KUCHA “QUICK DRY” ZINAZOKAUKA KWA SEKUNDE 60 na RANGI ZA REVLON.
• BOXER ZA KIUME, MAALUM KWA WATU WA MAZOEZI NA WANAMICHEZO, KUTOKA “CHAMPRO SPORTS MAREKANI” ZINA COOL PLUS FIBER INAYOKUFANYA USIJISIKIE JOTO WAKATI WA MAZOEZI.
• Perfume genuine za Flight Michael Jordan, Kim Kardashian, Queen Latifah, Paris Hilton, Guess, Jessica Simpson nk.

 KUMBUKA VAZI UTAPATA VITU VYA UKWELI, VYENYE UBORA WA UHAKIKA KWA BEI NAFUU!

DUKA LA Vazi LIPO OLD BAGAMOYO ROAD KATIKATI YA SHOPPERS PLAZA NA ZANTEL MAKAO MAKUU, DUKA LINATAZAMANA NA GHOROFA LA NHC, LILILOPO PEMBENI YA INTERNATIONAL COMMERCIAL BANK.

KUONA BIDHAA ZINAZOPATIKANA VAZI TEMBELEA www.vazitz.blogspot.com PIA UNAWEZA KUPIGA SIMU NAMBA 0658 286 555.

 Pia unaweza kufika Dukani kwa Kutumia google map. Andika “ Vazi dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...