nyumba inauzwa IKO KWENYE HARI NZURI NA MAZINGIRA MAZURI KWA AJILI YA USALAMA NA HEWA NZURI PIA , ina hati zote , nyumba ipo maeneo ya liver side kibangu, karibu na novo bar. 

Nyumba ina vyumba vinne vya kawaida pamaoja na master. ina vyoo na mabafu mawili ya public. ina parking na ina Servants quarter ya nyuma. ina sim tank mbili za maji zenye uwezo wa kubeba rita 1000 kwa kila moja. pia nyumba ina flame moja kwa mbele. bei MAELEWANO. 

 NB: nyumba pia inafaa kwa matumizi ya makazi, hostel, guest house au hospital. kwa mawasiliano 0713 564 460, 0767 564 460 .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ingekuwa River side ningenunua, lakini Liver side sinunui.

    ReplyDelete
  2. Wewe Mheshimiwa Dadali rudi shule ukajifunze kiswahili fasaha. Hasa zingatia matumizi ya "R" na "L".

    Vinginevyo nyumba inaonekana ni nzuri. Ila kama kawaida ya Madalali wanaotangaza biashara zao hapa kwa ankali hawaweki bei elekezi.

    ReplyDelete
  3. Tete teh tee!

    Kaka. Huyu Jamaa anaetangaza ana matatizo ya kuchanganya herufi 'L' na 'R' au ndio mbinu za advertising ili kuvuta attention ya watu?

    Tehe teh tee!

    ReplyDelete
  4. Bei maelewano ndo nini? weka bei ya kuanzia

    ReplyDelete
  5. MIONGONI MWA KERO ZA MUUNGANO HIZI

    ReplyDelete
  6. Kibangu ndo wapi? Mwanza, Singida, Mtwara? information ziko nusu nusu au walengwa ni wakazi wa hiyo kibangu tu?

    ReplyDelete
  7. semeni pesa hamna tu basi, kabebeni hayo mabox mpasuke migongo, na baada ya kutumika hapo miaka 10 ,kiwanda kinahamia Mexico na wewe ndo miaka 63 huwezi kuajiliwa kwingine ,maana unaambiwa you are too old. Ungekanunua haka kabanda ukapangisha !!! that would been a goodooo aidea.Lakini aka ?? mmeona spelling ya ( liver) ndo kitu mhimu saaaana cha kuongelea. spelling zingine zote mbona kaziweka sawa ?? hey you people grow up and stop picking your nose. Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...