THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Viwanja vya ufukweni (beach) vinauzwa.!

Viwanja vya ufukweni (beach) vinauzwa zipo Heka 3 mil.250 heka 10 mil.600 heka 1.na nusu mil.150 heka 60 shamba la kawaida lipo mkuranga mil 600. Heka 4 karibu na dar es salaam zoo mil 35. Heka 10 beach namba 3 mil.250 lipo kimbij. Na viwanja vya mil. 8 vipo gezaulole kigamboni. Wekeza kwenye ardhi kwani ardhi ni mali.Kwa Mawasiliano zaidi piga namba 0652020343


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Kweli Mtanzania wa kawaida ataviweza hivyo viwanja? au ndo maaulum kwa MAFISADI, Bongoland watch out, walalahoi wameshachoka mbaya saana, siku si nyingi wataaamaka na kuwafuata huko mnakoishi, mafisadi watalia na kusaga meno, umeni na kupuliza mafisadi!

 2. Anonymous Anasema:

  Sheria za Tanzania zinaruhusu kuuza viwanja?

 3. Anonymous Anasema:

  Mimi ninashangaa sana jinsi ambavyo hakuna "control" ya uuzaji wa viwanja hapa nchini. Ni biashara moja kubwa sana kwa wenye fedha. Mimi mwaka juzi, nilibahatika kununua eka moja tu huko Mwongozo Kigamboni, kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi. Lakini hadi sasa sijapata uwezo wa kujenga.

  Nimekuwa nasumbuliwa sana na watu mbalimbali wakitaka kununua hilo eneo langu. Kuna ambaye yuko tayari kutoa hata 20m/- cash! Eneo hilo tayari limeanza kuchangamka na Majirani zangu wameanza kujenga nyumba kubwa na nzuri sana na pia imetengenezwa barabara nzuri tu inayopitakaribu na eneo langu. Hivyo, kwa mtindo huo, tusimshangae huyo mwenzetu akitangaza Biashara ya viwanja Kigamboni, kwani ni Biashara yenye faida kubwa ajabu, ili mradi mtu uwe na hiyo pesa.

 4. Anonymous Anasema:


  Wewe anon wa kwanza,

  Kwani 'mzungu wa kawaida' anaweza nunua kiwanja ulaya au marekani? Matajiri ndio wenye uwezo wa kununua viwanja hata huko nje. Ardhi ni mali duniani kote! Msilete siasa hapa.
  Tuambie, wapi duniani 'mlalahoi' ananunua kiwanja katika eneo PRIME.

  Anon wa Sep 17, 08:55:00 PM

  Chunga sana hako kaeneo kako, kuna watu wame specialize kudhulumu tuuuuuu! Watch out.