Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii debate imenifurahisha sana, kwa sababu ile ya kwanza naona jamaa alikuwa kama hayupo, wala hana nia ya kubishana na mtu.Jambo moja naona kwamba kitu kikubwa sana katika siasa za Amerika ni JOBS,JOBS,JOBS.Angalia mara ngapi suali hilo limetajwa. Sasa rudia kwetu Bongo, wanasiasa hawana fikra au hawataki kufanya jitihada ya kuunda kazi nchini ili wananchi waongeze mapato na kubadili maisha ya umasikini na kuelimisha watoto kwa mafanikio ya kizazi kitakachoturithi..

    ReplyDelete
  2. Haiwezekani kwavile hata ukiwaambia tuwe na Presidential debates hawatakubali maana wanajua kuna kuumbuka....!

    ReplyDelete
  3. Bwana Kajumulo unasemaje kuhusu ile hoja yako ya black / white kwenye hii debate. As long as Obama kashinda hii debate mambo ya black and white hamzungumziiii!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...