Wapiganaji Francis Sengo (wa pili kushoto)  na Bi Jackline Mkomange wakiwa na wapambe wao Mpiganaji Gerson Msigwa wa TBC One (kushoto)  na Catherine Nyoni Msigwa (kulia)  baada ya kumeremeta katika kanisa la familia takatifu Bombambili Songea. Maharusi  ni watangazaji wa kituo cha Radio jogoo cha mjini Songea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...