Suala la uchumi lilitawala sana katika kampeni za uchaguzi wa Marekani mwaka huu. Bajeti ya Marekani imekuwa na nakisi ya dola trilinoni, na hali bado haijaonekana kutengemaa. Je uchumi wa Marekani una ushawishi kiasi gani duniani.
Anne Mawathe, amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, John Mashaka, katika studio zetu za Washington. Kumsikiliza BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. uchambuzi mzuri sana aisee, huyu bwana mdogo john mashaka naiona nyoka yake ikipanda vya kutisha. bila shaka, tanzania ijayo itakuwa ni ya vijana
    John Mashaka,
    Zitto Kabwe,
    January Makamba
    John Myika.
    Nawatakia kila la Kheri

    ReplyDelete
  2. john mashaka mwingine huyo ndani ya aljazeera

    http://www.aljazeera.com/indepth/features/2012/03/2012322743028880.html

    ReplyDelete
  3. hapo mbona ni kama anaongea kiingereza, au ni mimi namsikia vibaya

    ReplyDelete
  4. huyo naye atabaki kuwa superstar wa international media kama ndugu yake january makamba. ila lafudhi hiyo inaonyesha kwamba kiswahili siyo lugha yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nadhani lkisukums ni Lugha yake kwa vile hata maneno machache ya kidhungu anayoongea hawayasemi hivyo. Romney huku hawasemi kama alivyoisema yeye.
      Na hiyo kughia badala ya kuja.... SMH

      Na vyote anavyoongea hapo kama unasikiliza News zao ndio hayo hayo wanaongea kila siku.. Sioni jipya...

      Delete
  5. sasa hapo AMECHAMBUA NINI jamani? Mbona vitu alivyosema ni common facts za kila siku za CNN? Labda tuwekewe sehemu ya pili ya interview na hakika kuna mengi zaidi

    ReplyDelete
  6. huyo ndo rais mtarajiwa?

    ReplyDelete
  7. mlalamikaji LondonNovember 11, 2012

    washkaji zangu wamehojiwa na john mashaka, lakini naona john mashaka ndo anapewa airtime, au kwa sababu john mashaka ni superstar maalufu?
    BBC msifanya ubaguzi wa kujurikana. mashaka ni star ndiyo lakini hata sisi nao ni mastaa kwetu

    ReplyDelete
  8. mashaka hakuna kupewa urais kama kiswahili hakipandi. Kura yangu haupati
    ---Ku-t-futa
    ---Uf-mbu-zi wake

    ---Kil-deni
    ---ttzo- kubwa-sana
    -ndto--zao--kama-fuata-zle-ndoto

    Mwanangu hicho kiswahili na lafudhi, bora uongee kingereza tu. inaonekana dogo amejifunza kiswahili ukubwani kwani matamshi yake ni ya kiingrereza zaidi duh

    ReplyDelete
  9. Mashaka John anaongea ki-Swahili fasaha zaidi ya hao wenye lafudhi za kibongo fleva za r=L n.k
    Mdau
    Unguja

    ReplyDelete
  10. Jamani mkoje nyie, akiandika kiingerrza mnalalamika, akiongea kiswahili mnalalamika. Sioni tatizo katika lafudhi yake ingawa anasikika kuhathirika na kiingerrza. Ila ninamsifu kwa sababu huyu kijana kakulia na kusomea marekani. Hajasoma Tanzania hata kidogo. Nyinyi mliosoma bongo mbona hamuwezi kujielezea? Go Mashaka. Kazi nzuri. Hachana na hao midomo vikapu.

    ReplyDelete
  11. Mashaka john, usiwe na wasiwasi. Wengi tunapenda inavoielemisha jamii. Wasikolizaji wa BBC wanakupenda. Hawa wenye roho Za lakini hachana nao .

    ReplyDelete
  12. JIFUNZENI LUGHA KWANZA ILI MUELEWE WANAPOONGEA WATU:

    Ni muhimu kuzingatia Mada au Mawazo yanayotolewa na watu kama alivyotoa John Mashaka.

    Suala la kuielewa lugha ni jukumu lako binafsi wewe msomaji.

    ReplyDelete
  13. Learn to understand:

    The basics of Language are,

    1.Reading and Comprehension
    2.Writing
    3.Listening

    It is up to you to follow the three basics so that you understand!

    ReplyDelete
  14. hii inashngaza hata dada aliyekuwa anamhoji bwana john hajui uchumi wa marekani,na hayo anayosema ndugu john ndio kila siku yanasemwa marekani na waandishi wa habari. kwa kumsaidia ndugu yetu john congress na senate ndio wnaojadili budget ya marekan sio raisi. kupunguza deficit ni formular rahisi,kwanza kucut spend(big government)na kuincrease revenue. kuna njia mbili moja ya kutax more watu wanaoearn income of $250,000.00 au flat tax ambao itawezesha wafanyabiashara invest na kuajiri watu wengi zaidi ambao watalipa tax. kuhusu deficit wakati wa bush ni sababu ya two war,na vita vyenyewe vimelipiwa na credit card(borrow money from outside). kuhusu obama sababu administration imekuja na program nyingi kwa ajili ya kusaidia maskini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...