Mti maarufu kama 'Mkrisimasi' ukiwa umechanua maua sehemu za Manyoni. Miti hii imeenea sehemu nyingi nchini na maua yake kuchanua inapokaribia sikukuu ya Krismasi. Jina lake halisi ni lipi vile?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kilimanjaro Tree al maarufu Chrismass tree/Mti wa krismass

    ReplyDelete
  2. unaitwa Pride of Barbados

    ReplyDelete
  3. Jina lake ni MTI

    ReplyDelete
  4. Huu mti unaitwa Jacaranda

    ReplyDelete
  5. Unaitwa Jacaranda

    ReplyDelete
  6. Hapa Australia wanaita 'Jackaranda Tree' na maua huchanua wakati wa Summer X'mas times

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...