THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WANAMITINDO 12 WAPITA USAILI WA UNIQUE MODEL 2012


Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili. Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert, Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer  Njabili 
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA