Home
Unlabelled
AT ndani kipindi cha The Sporah Show
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aunty Sporah..... tuachie sisi wanawake wa kibongo bwana... Kwa raha zetu, tunapitia kitchen party mchezo, sio bure hizo ati... mchango elfu 50 kila wiki...
ReplyDeleteSporah anajitaidi sana ila naona kama MABLOG mengi hawampi support, naona ni Mtanzania anaefanya mambo makubwa sana ughaibuni lakini huku nyumbani hatumu appreciate yakivile. Mi napita tu, show nimeipenda.
ReplyDeletewe sporah mambo ya wanawake kulipa bills usituletee huku bongo, hayo mambo yenu ya ulaya huko babu eee!
ReplyDeleteWachaga wasiku hizi wanajua shughuli kuliko hata Wauswazi.
ReplyDeleteNapenda sana Anavovaa Sporah na nywele zake always on point.
ReplyDeleteLina Mushi.........Sio nywele zake ni za bandia, hakuna mwafrika mwenye nywele za namna hii.
ReplyDeleteNdiyo sababu dada zetu wanaishi ktk diaspora wanashangaa boyfriend akidai kodi kila wiki ikiwa kama mchango wa kulipia mortgage ktk nyumba bibie anayokaa na boyfriend wake.
ReplyDeleteWanawake wa Bongo na afrika hawawezi kasi ya ukweli juu ya 'usawa' kuwa lazima mwanamke achangie pesa ktk kila suala wakati wao waafrika wanawake wamezoea kulipiwa kila kitu huku wakidai usawa wa jinsia bila kuambatana na vitendo yaani kuchangia gharama.
Mdau
Anayekwenda na kasi ya usawa wa jinsia ktk Diaspora