Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba wakwanza kulia akifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa CCM Zanzibar wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,kulia yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mwengine ni Katibu wa Kamati Maalum ya Nec,Haji Mkemana wamwisho ni Katibu Msaidizi Mkuu kitengo cha Uchaguzi Mohd Haji Hassan.
Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba kulia akifanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,hafla iliofanyika Afisi kuu ya CCM Kisiwa ndui Mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...