Fuso lenye usajili namba T453BGF likiwa limenasa kwenye korongo karibu na culvert kwenye barabara ya Sitalike –Usevya-Majimoto-Mamba. Korongo hilo lilisababishwa na maporomoko ya maji kutoka milima ya Ufipa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo. Fuso hilo lilikuwa likitoka Sumbawanga kwenda Kilida lilisababisha magari kukwama kwa saa kadhaa.
Baadhi ya vijana wakijaribu kupanga mawe chini ya gari aina ya Fuso lenye usajili namba T453BGF ambalo lilikwama kwenye korongo lililosababishwa na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo. Fuso hilo lilikuwa likitoka Sumbawanga kwenda Kilida lilisababisha magari kukwama kwa saa kadhaa. (Picha na Irene Bwire wa OWM)
barabara duni ndio zinazotufanya tuwe na uchumi mbovu mbali na rushwa
ReplyDelete