THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Kituo cha Utu wa Mtoto (CDF) chaendesha mkutano wa kujadili maendeleo ya millennia jijini Dar

Mzee Yusuf Mutagurwa akichangia jambo kwenye mkutano wa siku mbili unaojadili maendeleo ya millennia MDGs huku Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Utu wa Mtoto (CDF) kilichoandaa mkutano huo, Konsuma Mtengete akimwangalia.Wengine ni washiriki wa mkutano huo unaoendelea Sinza jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mkutano unaojadili utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Milenia (MDGs), ulioandaliwa na kituo cha Utu wa Mtoto (CDF) wakiendelea na majadiliano kwenye mkutano huo unaoendelea jijini Dar es Salaam.