JUMLA ya waandishi wa Habari 12 kutoka nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki wametunukiwa vyeti baada ya kushikiri kikamilifu katika mafunzo ya siku tatu yaliyo husu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kufuatilia Utekelezaji wa Makubaliano ya Soko la Pamoja. Mafunzo hayo yalifanyika Jijini Dar es Salaam.

Pichani ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi  Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Mroki Mroki, kutoka Father Kidevu Blog ambaye pia ni Mpigapicha wa Masuala ya Mtangamano wa Jumuia ya Afrika Mashariki,  kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi  Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti David Mugabe kutoka New Vision Uganda kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...