Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi wa   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipomiminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutubia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini. SOMA ZAIDI:www.mrokim.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HUYU NI NANINI?RAISI MPYA WA TANZANIA?

    ReplyDelete
  2. Watu wa Arusha mnampendea nini Lema wakati hawaletei maendeleo?

    ReplyDelete
  3. tunampenda wewe inakuuma nini kimpango wako best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...