Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche (wa pili kushoto) na Redd's Miss Tanzania 2012,Brigiter Alfred (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wengine wa Kampuni hiyo,wakati Mrembo huyo alipofika kukutana na kuzingumza mambo mbali mbali na Viongozi hao.
Redd's Miss Tanzania 2012,Brigter Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas wakati mrembo huyo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha TBL na kukutana kwa mazungumzo na Wakurugenzi wote wa Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Redd's Miss Tanzania 2012,Brigter Alfred (kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche wakati mrembo huyo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha TBL na kukutana kwa mazungumzo na Wakurugenzi wote wa Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...