KATIKA KUENDELEZA LUGHA YETU YA KISWAHILI HUKU UGHAIBUNI NATAFUTA MTU YOYOTE MWEYE UCHESHI/KICHEKESHO KIPYA AU VIPYA (JOKES ZA KISWAHILI) AMBAVYO HAVIJAWAHI KUTUMIWA NA MSANII YOYOTE YULE NDANI NA NJE YA NCHI.
NAHITAJI HIVYO VICHEKESHO.
NANUNUA KWA BEI NZURI KILA JOKES.
WASILIANA NAMI 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...