kikosi cha Elias FC
 kikosi cha robert FC
 wachezaji wa timu ya Elias Fc wakipasha kabla ya mechi kuanza.
 wachezaji wa timu ya   Robert FC iliyovaa jezi za blue wakiwa wasalimiana na wachezaji wa timu ya Elias Fc zote zikiwa ni timu za wakurugenzi wa Kituo cha Radio 5 cha Jijini Arusha kabla ya kuanza mechi ya fainali ya bonanza la Uhuru day lililokuwa limeandaliwa na kituo hicho katika Uwanja cha General tyre jijini humo.Hadi mwisho wa mchezo matikeo yalikuwa ni  Elias FC 2-0 Robert Fc.
 Mmoja wa wachezaji wa  timu ya Robert Fc akiwa anachuliwa mguu mara baada ya kuumia wakati akicheza kinachofurahisha zaidi mchezaji huyu aliumia mara tu alipoingia kucheza mpira dakika tano hazikuisha ila mwishowe alirudi kusakata kabumbu
 kilichofurahisha zaidi hadi watangazaji wa kike walijitokeza kusakata kabumbu.
 Mara baada ya mchezo kumalizika wachezaji watimu ya elias FC waliamua kuunganika pamoja na wapinzani wao Robert FC na kupiga picha ya pamoja wakiwa na kombe pamoja na wakurugenziwa wao
wachezaji wa timu ya Elias Fc wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...