Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya nchini kwa mwaka wa masomo 2012/13 kama ilivyotangazwa  katika vyombo vya habari, kuripoti vyuoni haraka iwezekanavyo. 

Vyuo vilifunguliwa tarehe 12 Novemba 2012 na mafunzo  tayari yameanza.  Mwisho wa kuripoti ni tarehe 9 Desemba 2012.Baada ya tarehe hiyo nafasi yako itajazwa na mtu mwingine .

Tangazo hili limetolewa na :-
Kaimu Katibu  Mkuu
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
S.L.B. 9083
Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...