Jicho la samaki la kamera ya Globu ya Jamii  ya Maelfu ya wananchi wakishuhudia gwaride wakati wa kusherehekea miaka 51 ya Uhuru katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii picha ni nzuri,no doubt!one of the best pictures for the event I have seen for decades!a jo well done.Inafaa hata kwa kutengenezea Postcard!Michuzi,nakupa tip,zungumza na printers au wizara husika au mfanyabiashara binafsi,aizalishe hiyo picha katika Postcards,unaweza ukaokota pesa chache za "bati la nyumba yako!".Ni photography ya hali ya juu sana,nakupongeza kwa hilo,keep it up! - mzee kibogoyo-

    ReplyDelete
  2. Wow what a nice picture i can even see my self

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...