Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes akiwasalimia mashabiki waliofika bandarini kuwapokea Wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutokea Dar es salam.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakimskiliza Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamadi hayupo pichani huko katika hoteli ya Bwawani aliyewapokea kwa niaba ya Serikali.
Nahodha wa timu ya Zanzibar Hereos Nadir Haroub Kanavaro akiishukuru Serekali ya Zanzibar kwa mashirikiano iliyotoa kwa timu hiyo.
Naibu Waziri wa Habari,Utamadu Utamaduni na Michezo Bi Hindi Hamadi akiwashukuru wa wachezaji pamoja na viongozi wao kwa ushindi walio upata wa nafasi ya tatu katika mashindano ya Challenge Uganda. PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. duu vijichupa vya maji ya tsh 200 kwa kwenda mbele!tetetetetetete!!

    ReplyDelete
  2. bora vichupa hivyo vya maji kuliko safari bai sio utamaduni wetu huo sisi

    na waliofuata kinywaji chengine zaidi ya maji ndio tumeawaona watapokewa na bia au mamilioni

    ReplyDelete
  3. Tafadhalini tafadhalini tafadhalin Wazanzibari...watoto wadogo na kweli wamefanya makosa ....tusiue vipaji kwa hasira...kweli utovu wa aDABU NA tuwasamehe

    hASIRA ZETU ZITAATHIRI MAISHA ya kina Khamis Mcha Khamis na familia zao zote kaw laki TISA????????

    Jamani tuwape karipio lipite mbingu na ardhi lakini tuwasamehe
    Katika hao vijana hawajui hata kuandika , tukimfungia maisha tunataraji nini na tupongezwe na Mzungu gani duniani.

    Tutafakari na kama mtoto ndani ya nyumba tumtie adabu na kumkaripia kwa mara ya kwanza au tumfukuze ndani ya NYUMBA MAISHA YAKE ? ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha TIMU YA WAZEE SAIDIENI, Bausi Mwenyewe tunakuamini na punguza hasira...KWELI wamefanya utovu wa adabu lakini ni mara ya kwanza...Ni vipaji na lulu ya NCHI si ZFA tu...Kina Mcha Khamis, Mohd RAjab ,Kidevu , Kapenta wasaidieni ZFA ya sasa Uongozi uwe na busara ghafla ya mtazamo wa mbali.

    Umri wangu ni mtu mzima lakini kuuliwa vipaji vya Zanzibar sikubaliani na yoyote hata akiwa ni Haroub Cannavaro

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...