Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (Wa pili kushoto) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.kulia yake ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Dk,Zakia Ahmed Abubakar na kushoto yake ni Mkuu wa Chuo hicho Kamal Kombo Bakari.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka wakiwa katika Kikao cha Uzinduzi wa Baraza hilo kilicho fanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha huko Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Vyuo vyenu vitaishia huko huko tu visiwani huku bara havitambuliki kabisaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...