Maandalizi ya ufunguzi wa ATM ya UmojaSwitch Mwanga.

Wananchi na wadau wakisikiliza hotuba kutoka kwa wajumbe mbalimbali.

Afisa Mtendaji wa UmojaSwitch,Mr.Danford Mbiliyi akieleza jinsi ya kutumia ATM

Pichani ni wafanyakazi wa Benki ya Wananchi ya Mwanga, akiwemo Bw.Abby Ghuhia amabaye ni meneja mtendaji wa benki hiyo.Pembeni ni Afisa Mtendaji wa UmojaSwitch Bw.Danford Mbilinyi akiwa na viongozi mbalimbali kutoka serikalini.

Viongozi wa tukio la uzinduzi wa huduma za Umoja ATM wakiashilia ushirikiano na ufanikishaji wa uzinduzi wa huduma za Umoja ATM kupitia kadi ya UmojaATM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...