Wahitimu 1147 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara ambacho ni chuo kishiriki cha Saint Augustine (SAUT) wamekula nondozzz katika mahafali yaliyofanyika mjini humo. Mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dk. Makongoro Mahanga.
 Naibu Waziri Waziri wa Kazi na Ajira Dkt.  Makongoro Mahanga akihutubia katika mahafali ya kwanza ya SAUT Mtwara yaliyofanyika mjini Mtwara
 Wahitimu wakiivaa kofia ya alama ya kula nondozzzz  katika mahafali hayo
 Mdau  Benjamin Thompson akimpongeza mdogo wake Sikitu Jackob kwa kulamba nondozzz...
Mara baada ya sherehe hizo wahitimu na jamaa zao walijiandalia sherehe ndogo ndogo kama hizi mjini Mtwara katika kumbi na hoteli mbali mbali mjini humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...