Mwnyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa TZ wanaosaka nondozzz jijini  Beijing nchini China PHILIP DANINGA DANIE akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 51 ya uhuru wa TZ bara. 
 Wadau ambao wanasaka nondozzz huko wakipata mlo wa jioni wakati wa mnuos waliojiandalia   kusheherekea miaka 51 ya Uhuru jijini Beijing.
 Mnuso unaendelea. Kulia ni mdau Fatuma Matulanga wa TBC aliyetuletea taswira hizi. Yeye anasaka nondozzz ya masters  ya GLOBAL BUSINESS JOURNALISM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa


  1. Chakula kizuri, hakuna chura au mjusi hapo?

    ReplyDelete
  2. na nyie mmeanza kula kwa vijiti siku hizi kudadadeki anglia si itachukua siku tatu kushiba acheni usharo.. nyie pigeni kwa mikono tu wazee vipi

    ReplyDelete
  3. Hahahaha Watanzania China huko msije mkala supu ya Kenge na Juisi ya jasho la kuku,,,nyie jazeni machupa ya majuisi mezani.

    Mchina si mnamjua kwa kufoji?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...