THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

ngoma azipendazo ankal - Kizazi kipya


Ngoma ya 'Mtu Pesa' ya Twanga Pepeta itabakia mojawapo ya Classic ya bendi hiyo


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mtu pesa katika utunzi wake Banza Stone,ni nyimbo moja ambayo haitaweza kuchuja katika fani hii ya mziki.Blavo Banza.

  2. Anonymous Anasema:

    Kwa kweli ngoma hiyo Twangapepeta waltoa kitu maridadi kweli kwelihasa Msafiri Diof alingara sana na Rap zake

  3. Anonymous Anasema:

    Aisha Madinda, napenda yeye sana. kautendea haki muziki huu