Video Kutoka Chadema:Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Amesema:''CHADEMA kimechoshwa na uonevu na ukiukwaji mkubwa wa Kanuni unaofanywa na kiti cha Spika.Amesema hakuna Mbunge yoyote wa CHADEMA atakayeenda kuhojiwa na Kamati ya Bunge mpaka hapo rufaa zote 10 za Wabunge wa CHADEMA dhidi ya kiti cha Spika zitakapojibiwa..'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Dr Slaa naona washauri wa Afya Bongo wameshindwa kumshauri afanye nini kuzuia mkono wa kushoto usilemea baada ya ajali hasa eneo la kiganja" Nasikita ana "Wrist drop"
    Nitatafuta njia ya kumshauri.

    Mdau" Rehabilitation Specialist"

    ReplyDelete
  2. Mdau wa Kwanza Mtaalamu, umenena vyema!

    Tena nashangaa imekuwa vipi kwa kuwa yeye mwenyewe Dr.Slaa yupo kwenye CCBRT.

    Sijui inakuwaje wenzie huko wanamwacha tu.

    ReplyDelete
  3. Sehria za Bunge na Taratibu hazipishani sana na Sheria za Kiimani katika Taasisi za Dini.

    Kabla Bunge halijajibu hoja zako, tunaomba utoe sababu zilizofanya ukaacha Upadre ukaingia kwenye Siasa yenye mkono wa BUNGE!

    ReplyDelete
  4. Wapi kwenye Katiba ya nchi pameandikwa ukiacha Upadri huruhusiw kuwa Mwanasiasa, mdau hapo juu acha us...ge!!!

    ReplyDelete
  5. Usiingize dini...chambua ana point au kelele tuu?

    ReplyDelete
  6. Nyerere Mpya?

    ReplyDelete
  7. Mdau wa nne (4) anony wa Thu Feb 07, 09:27:00 pm 2013


    ....wewe ndio acha us...ge!!!

    UENDESHAJI NI UENDESHAJI UWEPO POPOTE PALE:

    ...MAADILI NDIO CHA KUZINGATIA KTK UONGOZI!

    1.HEBU ANGALIA UMESHINDWA KUENDESHA GENGE UTAWEZA KUENDESHA KIWANDA?

    2.UMESHINDWA KUWA MWADILIFU KWA MWENYEZI UTAWEZA KUWA MWADILIFU KWA WANANCHI?

    3.UMESHINDWA KUWA KATIKA MAISHA YA NDOA, MAISHA YA UKAPERA UTAYAWEZA?

    4.UMESHINDWA UPADRI UTAUWEZA URAISI?

    5.UMESHINDWA KUITUMIKIA DINI UTAWEZA KIUTUMIKIA NCHI?

    ReplyDelete
  8. Dini, nchi, padri, mwanasiasa havitusaidii. Je, Kanuni anazodai zimekiukwa na Spika ni kweli au uongo?. Simple.

    Kama ni kweli, Spika ashughulikiwe, kama ni uongo, Dr. Slaa ashughulikiwe. Kwisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...