Picture
Spika wa Bunge, Mhe Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe undu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge.Picture
S

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yes! Kidume Lissu aka JEMBE tunakuaminia Mkuu we wachachafie tu but nje Bunge kula raha baba!

    ReplyDelete
  2. Mbona hawagusani mbeleni, au kugusana pia kuna upinzani?

    ReplyDelete
  3. Urafiki wa mashaka!

    ReplyDelete
  4. watagusanaje na hao ni mama na mwanae. Vijana wa leo hamna miiko?

    ReplyDelete
  5. makinda - ukinizingua utakuwa huchangii kitu bungeni. ohoo we niguse oune!!

    ReplyDelete
  6. waacheni hawa ni wazee.

    ReplyDelete
  7. Ohhh niuliwaambia Mhe. Lissu ana uwezo mkubwa sana wa Komedi,,mmeona jinsi anavyocheza Bluzi na Mhe.Spika?

    ReplyDelete
  8. Ama kweli Mhe.Tundu Lissu jogoo la maana, na Rumba analiweza kulicheza!

    Ni Mchezo kuserebuka na mshika Mhimili wa Sheria nchini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...