Mbunge
wa Moshi Mjini Mhe Phillemon Ndesamburo akiongea na Mhe Lucy Owenya (viti maalumu - CHADEMA) Bungeni leo.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wabunge (katikati ) Mary
Mwanjelwa(-Viti Maalumu) na James Lembeli (kulia) Kahama leo Bungeni.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mzee Ndesamburo sio akiongea na mbunge tu wa Chadema viti maalum bali pia ni mwanawe au ulikuwa hulijui hilo michu....
ReplyDelete